Heshimu ndoa yako

Heshimu ndoa yako

Mwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume
Saw saw
 
Inategemea na Status ya maisha uliyo nayo. Kuna nyumba hazina panga boy zina kiyoyozi hali zinaruhusu kukumbatiana.

Kuna zile nyumba ambazo mkikumbatiana mnakuwa kama mmepaka nta au asali mwilini hizo ndio shida
Makumbato ya kimazingira, maskini wasio na viyoyozi ndiyo baso tena 😂 😂
 
Back
Top Bottom