Saw sawMwanamke & mwanaume. Heshimu ndoa yako wewe ambae uko kwenye ndo mda unapofika wakulala weka simu yako mezani na umkumbatie mwenzako sio yeye apate baridi eti wewe uko mtandaoni labuda kama kunavitu nyote mnaviangalia huko lakini eti mwenzako kasinzia et wewe uko mtandaoni sio vyema heshimu ndoa yako ewe mwanamke na mwanaume
Nae mkeo anakuona kama dude tu. Hapo ni madude mawili yanalisongesha π€£π€£π€£Wanawake wanafikia hatua wana kera sanaa unaliona kama dude tu.
Makumbato ya kimazingira, maskini wasio na viyoyozi ndiyo baso tena π πInategemea na Status ya maisha uliyo nayo. Kuna nyumba hazina panga boy zina kiyoyozi hali zinaruhusu kukumbatiana.
Kuna zile nyumba ambazo mkikumbatiana mnakuwa kama mmepaka nta au asali mwilini hizo ndio shida
Baada ya game unatoka nje kupunga upepo na lita mbili za maji ya bariiidiMakumbato ya kimazingira, maskini wasio na viyoyozi ndiyo baso tena π π