HESLB achen WIZI ndo tuseme BIL 306 ZIMEISHA?

HESLB achen WIZI ndo tuseme BIL 306 ZIMEISHA?

vice UDOM

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
204
Reaction score
9
kwa hali ya kawaida haiingii kichwan eti bil 306 zilizotengwa eti zimeisha,na kwanza walisema watatoa mkpo kwa mwaka wa kwanza kwa wanafunz 35000 na mbona wametoa kwa wanafunz 29750 je idad iliyobak hela zimeenda wp? nakuja huko kuchukua mjibu yangu
 
Kweliii wasileta usenge lazima watoe maelez kuntu

ucjar jembe langu hapa naenda makao makuu kuchukua majibu,kwa nn dada,kaka,rafiki zetu wakose na wanavigezo vya kupata?
 
hujaripot hata chuo ushaanza harakati hii ni hatari sana.!
 
ucjar jembe langu hapa naenda makao makuu kuchukua majibu,kwa nn dada,kaka,rafiki zetu wakose na wanavigezo vya kupata?
  • Hili ni tatizo kubwa, sababu utakuta yule asiyestahili kupata ndio amepata (hawa ni wale watokao familia zenye uwezo), na mtoto wa mkulima ambaye michango tu ya shule ilikuwa ikimsumbua anakosa mkopo.
 
Subirin mwakan mtapata! Acheni jaziba!

jaziba n lazima 2wenayo,2subir mwakan ? wakat hata hela ya direct cost n mtihan kuipata....!mwaka huu kitaeleweka tu,watatuambia hela iliyobak imeenda wp ?
 
bil 306 c ki2 kama kun wat wanalamba 5m(kwa m2 mmja) unategemea nin think deep!!!!!!
 
afu yule kawambwa cjui bubu yule jamaa?
Ata mlopokaja(mlugo)nae kakaa kimya
Ili tatizo vijana
Let's wake up 4 our right
 
Kweliii wasileta usenge lazima watoe maelez kuntu

Atukanaye hajui kutetea haki yake, hivyo haki yake hupotea licha ya kutukana kwake. Kutoa hoja ya sababu za kupinga kutopewa mkopo, sababu za msingi kutokana na sheria inayotoa vigezo vya kupewa mkopo, ni moja ya ishara ya kutambua haki yako.
Pole sana kijana, ila kauli yako “useng....” inaonesha hujui lolote, na ukiendelea hivyo, wenzio wala.
 
Back
Top Bottom