HESLB acheni uonevu

HESLB acheni uonevu

TAECOLTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Posts
1,051
Reaction score
1,836
Jamani mwaka huu mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma kiasi hicho? sawa mmebana pande zote basi mwanafunzi akaona bora akimbilie ualimu labda atapata mkopo lakini cha ajabu mmemnyima pia ilhali mwajua hali ya wazazi wengi ni mbaya mmewapa wanafunzi wanaojiweza na kuwanyima wasiojiweza..sasaaa sauti ya wanyonge imezimiwa ardhini hiyo idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo waende wapi wakati hawana uwezo wa kujisomesha?! Hii serikali haina haki kabisa..ndo mnaenda na ule msemo wa alie nacho huongezewa wakati asiyenacho ata kile kidogo huondolewa...KUWENI NA HURUMA JAMANI!!!
Nawasilisha hoja
 
Kama umekosa mkopo pole sana ndugu yangu ila usikate tamaa jaribu kuapeal unaweza ukafanikiwa.
 
Mwaka huu majanga,hakuna cha Bsc wala BA wote mwendo wa karata.Yuko jamaa yangu kafanyiwa kitu mbaya sana pa1 na Bsc yake,duh!
 
Kama umekosa mkopo pole sana ndugu yangu ila usikate tamaa jaribu kuapeal unaweza ukafanikiwa.
Hivi Bodi imeonyesha njia ya kuweza kuappeal kwa wale waliokosa mkopo? Maana nimeona wapo watoto wa kike wamepata daraja la kwanza na la pili na wazazi wao hawana uwezo lakini hata hawajafikiriwa kupata mkopo wa kuwawezesha kujiunga na vyuo. Hii ni uonevu na ukandamizaji wa hali ya juu na kuwakatisha tamaa vijana hao na wazazi wao.
 
huenda kuna makosa ya kiufundi na ndo maana hawa HESLB wametoweka mtandaoni. Wamefanya kinyume na jinsi TCU walivyoonyesha katika kitabu chao wakati wa ku apply vyuo. Nina imani watakuja na marekebisho makubwa
 
mie nmechek saa tisa ikafunguka japo tuition fee nmeandikiwa 628,000'wakat full ni 1,300,000'meal&accomodation 1,738,500' na stationary 200,000'bodi washamaliza yao japo mtandao tu ndo busy.
 
Kabla walikuandikiaje.?
 
Me nashukuru mungu ada nalipa 220,000 kama nilio ilipa toka form 1 hadi form 6(20,000 20,000 20,000 20,000 70,000 70,000) clue yangu yote olevo tumepata the same. Thank God
 
Jamani mwaka huu mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma kiasi hicho? sawa mmebana pande zote basi mwanafunzi akaona bora akimbilie ualimu labda atapata mkopo lakini cha ajabu mmemnyima pia ilhali mwajua hali ya wazazi wengi ni mbaya mmewapa wanafunzi wanaojiweza na kuwanyima wasiojiweza..sasaaa sauti ya wanyonge imezimiwa ardhini hiyo idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo waende wapi wakati hawana uwezo wa kujisomesha?! Hii serikali haina haki kabisa..ndo mnaenda na ule msemo wa alie nacho huongezewa wakati asiyenacho ata kile kidogo huondolewa...KUWENI NA HURUMA JAMANI!!!
Nawasilisha hoja
Tunaishi kibabe sana......
 
Me nashukuru mungu ada nalipa 220,000 kama nilio ilipa toka form 1 hadi form 6(20,000 20,000 20,000 20,000 70,000 70,000) clue yangu yote olevo tumepata the same. Thank God

mjomba roho itakuja kukuuma mnooo utakapokuja kukatwa mshahara wako kwa miaka kumi, ili kulipa huo mzigo unaoushangilia
 
Me nashukuru mungu ada nalipa 220,000 kama nilio ilipa toka form 1 hadi form 6(20,000 20,000 20,000 20,000 70,000 70,000) clue yangu yote olevo tumepata the same. Thank God

Utakuwa unaenda kusomea Eng,hamna mtu wa Eng kapewa 100%,wote ni 85% ya tution fee..
 
Back
Top Bottom