TAECOLTD
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 1,051
- 1,836
Jamani mwaka huu mbona bodi ya mkopo imerudi nyuma kiasi hicho? sawa mmebana pande zote basi mwanafunzi akaona bora akimbilie ualimu labda atapata mkopo lakini cha ajabu mmemnyima pia ilhali mwajua hali ya wazazi wengi ni mbaya mmewapa wanafunzi wanaojiweza na kuwanyima wasiojiweza..sasaaa sauti ya wanyonge imezimiwa ardhini hiyo idadi ya wanafunzi waliokosa mikopo waende wapi wakati hawana uwezo wa kujisomesha?! Hii serikali haina haki kabisa..ndo mnaenda na ule msemo wa alie nacho huongezewa wakati asiyenacho ata kile kidogo huondolewa...KUWENI NA HURUMA JAMANI!!!
Nawasilisha hoja
Nawasilisha hoja