HESLB wana viburi sana MkuuKuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.
Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
[emoji23]mwajiri wako ana hasara sana
Nenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slip
SWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.Umefika bodi ya mikopo ukapewa balance statement? Ukaona penalty na vrf hazijaondolewa??
Au shida yako ni kuona tu vimeondolewa kwenye salary slip??
Kwanini wengine deni la bodi limeongezeka kwenye mfumo?
Kwenye mfumo deni kubwa na kwenye slip deni dogo ingawa VRF imefutwa?
Mmefuatilia kwny ofisi za HESLB kuomba Loan statement mkakuta hawajaondoa Retention fee?Naona hii VRF haijafutwa ingefutwa deni lingepungua sasa bado wembe ni ule ule,huyu Mkurugenzi wa loan board anatakiwa kujitathimini
Achana na habari za mtandao nenda bodi wakupe verified loan statement.Tumeangalia kwenye mtandao bado den ni kubwa sana
Makato yapo kwa % na ni asilimia 15 kama unakatwa laki itabaki kuwa hivyohivyo.SWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.
Ukienda kwenye HESLB loan statement ukakuta deni ni 5M baada ya kuondolewa kwa VRF, je wataendelea kukukata 100,000/= ileile kila mwezi? Au wanapaswa wapunguze kwakuwa deni limeshapungua?
Sio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumuMnajichanganya ninyi tu bodi wapo vema na hawana shida. Saizi unajisajili kwenye web yao na unaona deni lako halisi. Hawaweze kwemda kwa waajiri wote kufanya ipdate ya makato kwenye salary slip ni kazi kubwa sana. Wewe chukua statement yako online jua deni lako
Kwa mfano mimi kwenye statement nadaiwa laki 8 tu. Lakini salary slip inaonesha mil 2.5
Kuna jamaa yangu salary slip inasoma mil 1.8 lakini statement ya bodi ilimwambia kamaliza deni. Alipowasiliana nao wakamwambia akachukue clearance certificate. Unapeleka utumishi wanaondoa Deni.
Wanaoshughulika na salary slip na kuingiza na kutoa makato ni utumishi. Ndio maana hata bank wakikulipia deni haliondoki automatically ila unapeleka uthibitisho utumishi kuwa ume clear wanaliondoa kwenye makato ya mshahara, maana ni hao hao uyumishi waliweka hayo makato walipoletewa orodha na bodi. Bodi kupata waajiriwa ilikuwa inawatafuta kupitia waajiri sio system za serikali juu kwa juu. Hii ina maana mwajiri ndie anaweza kutoa au kupunguza makato pale anapoambiwa na bodi. Sasa bodi haiwez fanya hii kazi kubwa hivi, wewe unaedaiwa nenda ujue deni lako. Tena saizi ni kwakutumia simu yako tu wanakupa na control number hapo hapo ya kulipia.
Wapo ambao wameajiriwa baada ya makato kupanda kuwa 15% hao deni lako halipo mbali na ukweli uliopo kwenye salary slip kwa uzoefu wangu na pengine yanalingana kabisa.
Sasa kaa subiri uwe updated, anaeumia ni wewe. Wao wanalamba ela tu. Kwenye system zao deni litaisha, mwajiri ataendelea kukukata [emoji1][emoji1] utajua nani ana akili zaidi ya mwenzie. Alafu unachokikwepa leo kikufanya utakifanya kwakufunga safari kwenda ofisini kwao ku claim makato yaliyozidi. Kupanga ni kuchagua. Kila la kheriSio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumu
Usiwe mbishi mwajir ndo anaingiz na kutoa makato...fika bodi ushughulikiwe ila nakushaur fika ukiwa unahis umemaliza na mtandoa unasoma hivyo hyo itasaidia kuokoa ghrama... kma bado na unatoka mbal nakushaur subir den liishe ili usiende bod Mara mbilSio kazi kubwa ni mifumo tu ya kitehama inaweza kumaliza hiyo kazi. Au watoe utaratibu kila wadaiwa ktk halmashaur fulani waende kwa ofisi za utumishi kubadilishiwa au ku uodate taarifa zao. Mbona kwenye kuingiza makato mapya haikuwa kazi ngumu? Ila kwenye ku update taarifa inakuwaje kazi ngumu
Wanaendelea kukata vile vile, maana yake ndani ya muda mfupi tu deni lako linaishaSWALI: Hivi kama kwenye Salary slip inasoma kiasi kikubwa, let's assume 10M na wanakata 100,000/= kila mwezi.
Ukienda kwenye HESLB loan statement ukakuta deni ni 5M baada ya kuondolewa kwa VRF, je wataendelea kukukata 100,000/= ileile kila mwezi? Au wanapaswa wapunguze kwakuwa deni limeshapungua?
Achana na habari za mtandao nenda bodi wakupe verified loan statement.
Utofauti upo ndio maana inabidi uende bodi.Kwan den la kwenye mtandao(website yao)na verified loan statement unayopewa kuna utofauti?
Utofauti upo ndio maana inabidi uende bodi.
Hata online huwa wanasema watakutumia verified statement ndani ya masaa 72 lakini hawatumi kwa sababu wapo busy kushughulikia statement za watu wanaoenda ofisini kwao.
NB: Ukienda uwahi wanahudumia watu 150 tu kwa siku.
Kwasasa uhusiano haupo, kwasababu taarifa za bodi hazijawa updated kwenye mfumo...
Nilichukua statement ofisini kwao Tazara. Statement inaonyesha nadaiwa milioni 2.4Mnajichanganya ninyi tu bodi wapo vema na hawana shida. Saizi unajisajili kwenye web yao na unaona deni lako halisi. Hawawezi kwenda kwa waajiri wote kufanya update ya makato kwenye salary slip ni kazi kubwa sana. Wewe chukua statement yako online jua deni lako, au fika bodi jua deni halisi baada ya msamaha.
Kwa mfano mimi kwenye statement ya bodi nadaiwa laki 8 tu. Lakini salary slip inaonesha nadaiwa mil 2.5
Kuna jamaa yangu salary slip inasoma mil 1.8 lakini statement ya bodi ilimwambia kamaliza deni. Alipowasiliana nao wakamwambia akachukue clearance certificate. Unapeleka utumishi wanaondoa Deni.
Wanaoshughulika na salary slip na kuingiza na kutoa makato ni utumishi/mwajiri. Ndio maana hata bank wakikulipia deni haliondoki automatically ila wanapeleka uthibitisho utumishi au kwa mwajiri kuwa ume clear wanaliondoa kwenye makato ya mshahara, maana ni hao hao utumishi waliweka hayo makato walipoletewa orodha na bodi.
Bodi kupata waajiriwa ilikuwa inawatafuta kupitia waajiri sio system za serikali kukunasa juu kwa juu. Hii ina maana mwajiri ndiye anaweza kutoa au kupunguza makato pale anapoambiwa na bodi. Sasa bodi haiwezi fanya hii kazi kubwa hivi, wewe unaedaiwa nenda ujue deni lako. Kwanza saizi wamerahisisha ni kuingia kwa web yao unajisajili unaona kila kitu, wanakupa na control number hapo hapo ya kulipia. Wanakupa option yakulipia mpk tigopesa. Mnalalamika hata bila kuwa well informed.
Wapo ambao wameajiriwa baada ya makato kupanda kuwa 15% hao deni lao halipo mbali na ukweli uliopo kwenye salary slip kwa uzoefu wangu na pengine yanalingana kabisa.
Shida ni loan board, lakini pia ukifika ofisini na kupata statement yako, na kama ni kidogo imebaki unaweza kulipa, unapewa certificate yako shida imeishia hapoSasa hili ni kosa la nani? Mtumishi au loan board?
Achana na habari za mtandao nenda bodi wakupe verified loan statement.
Yaani tutoke Mtwara, Sumbawanga, Canada, Japan...wote twende board?