Leo nimeamkia loan board baada ya habari nyingi tunazozisikia kwenye vyombo vya habari, lakini bado wanadai kua watakao kua considered ni wale waliokosea tu kujaza form zao za mkopo..ambao wameandikiwa incomplete na course walizoomba ni priority ndo watafikiriwa tena, sasa hapo watakau wamesaidia nin? watu ambao hawajapata bado ni wengi sana, sijui hii selikali yetu ipo vitu, kama umeamua kuwasaidia watu kwanini usiwaidie wote??