Heslb bado ni madudu tu..

Heslb bado ni madudu tu..

Clemoo

Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
71
Reaction score
15
Leo nimeamkia loan board baada ya habari nyingi tunazozisikia kwenye vyombo vya habari, lakini bado wanadai kua watakao kua considered ni wale waliokosea tu kujaza form zao za mkopo..ambao wameandikiwa incomplete na course walizoomba ni priority ndo watafikiriwa tena, sasa hapo watakau wamesaidia nin? watu ambao hawajapata bado ni wengi sana, sijui hii selikali yetu ipo vitu, kama umeamua kuwasaidia watu kwanini usiwaidie wote??
 
Hii nchi ilichagawanywa na mafisadi toka utawala ulioko madarakani ulipoingia tu madarakani,umewaluhusu maafisa mbalimbali kujilimbizia mali za uma bila ata wasiwasi,,,,
 
Back
Top Bottom