Heslb, continuing students hadi lini?

Heslb, continuing students hadi lini?

FEAFAMILYGUY

Member
Joined
Sep 20, 2012
Posts
11
Reaction score
1
:help:Waungwana napenda kujuzwa kuhusu continuing students kama bodi washaoa majina wajameni.
 
jamani hela zinatumwa moja kwa moja kwenye vyuo vyenu. Wale wa TEKU tulishasain boom tangu jumanne na pengne leo au kesho watatuwekea.
Msikae mkisubiri majina kwenye mitandao, kama uli-renew mkataba utakuta chuoni.
 
majina ya second year na kuendelea yapo mavyuoni nenda kwa mhasibu utakuta jina lako au barsa
 
Naulizia majina ya wale wanaoendelea na masomo ambao hawana mkopo na waliomba tena mkuu
 
wale malegendary wa UDSM,tunangojea oct 21 tukasaini mzigo we2 tuendelee kupiga kitabu
 
majina tayari yako vyuoni japo kuna wachache majina hayaonekani ... japo kimakosa!!

vyuo vingine semister zimeshaanza tayari!
 
Back
Top Bottom