HESLB duh, nakata tamaa

HESLB duh, nakata tamaa

Naiara

Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Leo tarehe 7 loan board kimyaaaa..
Mzee kanambia nisahau chuo kama board haijatangaza majina...jaman watoto wa wakulima mbona tutakoma,tarehe 11 natakiwa nireport chuo kuna usalama hapo??
atleast waseme something...nakata tamaa maskn mie
 
yaani ktk hii nchi, masuala ya elimu yameingiliwa na siasa chafu...kwa kweli cjui tunaelekea wapi
 
Mm mzee wangu hata matumaini ya kwenda chuo hanipi kila siku ananiuliza mkopo bado kwa maana iyo bila mkopo chuo na mm ndo ivyo
 
Bodi wanamakosa gani?ikiwa nacte&tcu bado hawajakamilisha udahili.unataka watoe majina nusu nusu??cha muhimu ni kuvuta subira,naimani watatoa majina kabla chuo chochote hakijafungua
 
kwani we hujui kua kna vyuo vshafunguliwa tayar.mfano IAA na SAUT
 
Bodi wanamakosa gani?ikiwa nacte&tcu bado hawajakamilisha udahili.unataka watoe majina nusu nusu??cha muhimu ni kuvuta subira,naimani watatoa majina kabla chuo chochote hakijafungua

vyuo vingine vimefungua leo
 
Bado pia sioni sababu ya kuilaumu bodi,kama unasoma course ambayo ni priority basi kuwa na uhakika tu mkuu
 
Nafikili baada ya watu wa transfer kumaliza app zao, ili ku facilitate loan location.
Neno langu sio sheria
 
Hv hii transfer kiukweli/kimcngi tofauti na walioomba transfer kutumiwa massage ya kukubaliwa maombi yao, hiyo rpoti inaanza kutoka lini au kuachiliwa lini kwenye website ya tcu kama walivyoeleza wataiachilia kwenye website yao
 
sijui ni upuuzi gani waendelea pale.,
 
Hv hii transfer kiukweli/kimcngi tofauti na walioomba transfer kutumiwa massage ya kukubaliwa maombi yao, hiyo rpoti inaanza kutoka lini au kuachiliwa lini kwenye website ya tcu kama walivyoeleza wataiachilia kwenye website yao

Nafkili kilakitu ni baada ya tare10 kwakua hyo ndio ilikua deadln yao.
 
Hii ndio Tz. Mambo yanapelekwa ili mradi yaende tu. Lakn tujipe moyo mambo yatakuwa poa tu. Wahenga husema subra yavute heri. Mungu ibark tz, Mungu tubarik 1year
 
Kinana na Haram*a Nape wanafanya yao huko huku Watoto wa maskini wanakosa Masomo
 
Leo tarehe 7 loan board kimyaaaa..
Mzee kanambia nisahau chuo kama board haijatangaza majina...jaman watoto wa wakulima mbona tutakoma,tarehe 11 natakiwa nireport chuo kuna usalama hapo??
atleast waseme something...nakata tamaa maskn mie

Bora yetu sie watoto wa watengeneza katiba
 
Only god knows me naamini mungu mwema na ana nia njema na cc watoto wa walala hoi..... kikubwa mungu atusimamie nasi 2kim2mania yeye kwa kila jambo,......
 
  • Thanks
Reactions: m2j
Leo tarehe 7 loan board kimyaaaa..
Mzee kanambia nisahau chuo kama board haijatangaza majina...jaman watoto wa wakulima mbona tutakoma,tarehe 11 natakiwa nireport chuo kuna usalama hapo??
atleast waseme something...nakata tamaa maskn mie

nenda ukakope saccos on spot unakula chako!!wa2 wamemaliza field one week at home ndo account znaxoma, , ,xembuxe weweee?mi mwenyewe nawaxubiria hao wakubwaa. . . . .acha MTERO coz mwenyew nahc una 1%
 
Back
Top Bottom