HESLB duh, nakata tamaa

HESLB duh, nakata tamaa

nenda ukakope saccos on spot unakula chako!!wa2 wamemaliza field one week at home ndo account znaxoma, , ,xembuxe weweee?mi mwenyewe nawaxubiria hao wakubwaa. . . . .acha MTERO coz mwenyew nahc una 1%

kwani mim co mtu acha dharau..
 
Wazazi wengine tunangojea hizo hizo ili mtupe walau mtaji wa mama ntilie;
 
Only god knows me naamini mungu mwema na ana nia njema na cc watoto wa walala hoi..... kikubwa mungu atusimamie nasi 2kim2mania yeye kwa kila jambo,......

Unatia huruma Utapata 2
 
Tuvumilie! Mpaka Next Weeks On 23 October 2014 Ndipo Wata Wataachia! nibaada ya tranfer kukamilika ili waachie pamoja.
 
Majina yapo vyuoni, kama unaweza nenda chuoni kwako utaona kama umepata au la.
 
Back
Top Bottom