nenda ukakope saccos on spot unakula chako!!wa2 wamemaliza field one week at home ndo account znaxoma, , ,xembuxe weweee?mi mwenyewe nawaxubiria hao wakubwaa. . . . .acha MTERO coz mwenyew nahc una 1%
Bora yetu sie watoto wa watengeneza katiba
Mm mzee wangu hata matumaini ya kwenda chuo hanipi kila siku ananiuliza mkopo bado kwa maana iyo bila mkopo chuo na mm ndo ivyo
.ndo wale walenenda ukakope saccos on spot unakula chako!!wa2 wamemaliza field one week at home ndo account znaxoma, , ,xembuxe weweee?mi mwenyewe nawaxubiria hao wakubwaa. . . . .acha MTERO coz mwenyew nahc una 1%
Only god knows me naamini mungu mwema na ana nia njema na cc watoto wa walala hoi..... kikubwa mungu atusimamie nasi 2kim2mania yeye kwa kila jambo,......
hongera yenu..
.tupe sourceTuvumilie! Mpaka Next Weeks On 23 October 2014 Ndipo Wata Wataachia! nibaada ya tranfer kukamilika ili waachie pamoja.