HESLB imenipa maswali kichwani sielewi naombeni ushauri na msaada kuhusu mabadiliko yaletwayo na heslb kwenye Account

kruzostom

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2024
Posts
310
Reaction score
419
Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB
Kwenye institution hawajaweka chochote.

Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
 
View attachment 3122198View attachment 3122198NdUU ZAngu mimi sielewi k@tika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya heslb
Kwenye institution hawajaweka chochote

Ngoja waje, japo umetuma uzi huu mida ya Wanga na ni weekend.
 
View attachment 3122198View attachment 3122198NdUU ZAngu mimi sielewi k@tika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya heslb
Kwenye institution hawajaweka chochote
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Dogo sasa si usingeweka Majina yako hapo...
 
Lipo kwa wote. Sio kwako tu.
Kufahamu allocation bonyeza hizo button left top hand side. Then nenda kwenye SIPA then Allocation. CHAGUA mwaka 2024/25 then click ok utaona allocation
Yan nikifanya hvo naambiwa hivi
IMG-20241012-WA0005.jpg
 
View attachment 3122198View attachment 3122198

Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB
Kwenye institution hawajaweka chochote.

Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Ulifanikiwa kupata mkopo katika awamu ya kwanza au ya pili?
 
Back
Top Bottom