kruzostom
JF-Expert Member
- Sep 6, 2024
- 310
- 419
Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB
Kwenye institution hawajaweka chochote.
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Kwenye institution hawajaweka chochote.
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie