Ngoja waje, japo umetuma uzi huu mida ya Wanga na ni weekend.View attachment 3122198View attachment 3122198NdUU ZAngu mimi sielewi k@tika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya heslb
Kwenye institution hawajaweka chochote
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Dogo sasa si usingeweka Majina yako hapo...View attachment 3122198View attachment 3122198NdUU ZAngu mimi sielewi k@tika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya heslb
Kwenye institution hawajaweka chochote
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Ulifanikiwa kupata mkopo katika awamu ya kwanza au ya pili?View attachment 3122198View attachment 3122198
Ndugu zangu mimi sielewi katika hili naomba ushauri na ufafanuzi kuhusu badiliko hili kwenye account yangu ya HESLB
Kwenye institution hawajaweka chochote.
Naogopa sana na kujiuliza maswali mengi kweli sijui shida ni multiple admissions kwa kweli sielewi jamani naombeni mnisaidie
Jifunze privacy kijana sio kila sehemu ya kuacha taarifa zako wazi , kama ulichofanya wewe hapa kuacha namba zako open na juu kule umeacha majina yako yote full duh 🤔Yan nikifanya hvo naambiwa hiviView attachment 3122384
Ukiona hivo possibility ya kupata mkopo ni ndogo sana dogoYan nikifanya hvo naambiwa hiviView attachment 3122384