Window7
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 4,098
- 3,038
Habari Zenu Wakuu. Naomba kujuzwa Heslb hua inachukua Maamuzi gani endapo mtu atabadili facult akiwa chuoni? Hasa linapokuja suala lakutoka Priority kozi kwenda Non-Priority Kozi, au kinyume cha hapo. Je % za mkopo hubadilishwa kwa muda gani? Naomba kujuzwa