HESLB Inachukua Maamuzi Gani Juu ya Hili

HESLB Inachukua Maamuzi Gani Juu ya Hili

Window7

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
4,098
Reaction score
3,038
Habari Zenu Wakuu. Naomba kujuzwa Heslb hua inachukua Maamuzi gani endapo mtu atabadili facult akiwa chuoni? Hasa linapokuja suala lakutoka Priority kozi kwenda Non-Priority Kozi, au kinyume cha hapo. Je % za mkopo hubadilishwa kwa muda gani? Naomba kujuzwa
 
  • HESLB huwa imetoa mwongozo vyuoni, hivyo kuna baadhi ya vyou huwa havikubali kabisa kubadilisha kozi baada ya kuwa umeripoti chuoni.
 
Si lazma uwaataarifu bodi!eg unahama toka koz ya miaka m3 kwenda koz ya miaka3 haina tatzo na sio lazma uinotify bodi.ila jina lako na mkopo vitakua vinapitia kwenye list ya koz yako ya awali!
 
Chuo kinapaswa kutoa taarifa kupitia loan ofisa wake, mkopo hubadilika. Ukikwepa hapo, wanaweza kukunasa kwenye matokeo wanapokagua walio disco n.k. Baadhi ya vyuo registration namba zinaindicate chuo na course mfano wanaosoma uhasibu TIA namba zao ni kama DSM/TIA/BAC/12/008 hii inaonesha hadi mwaka wa masomo. Wale wa evening ni kama Dsm/tia/bac-ev/12/0024. Kwa hiyo kwa anayesoma jioni hapati mkopo. Namba zinakuwepo hadi NACTE. Ukihamia course ya BBA ambayo ni non priority namba inakuwa Dsm/tia/bplm/12/003
 
Nashukuru sana wakuu kwa msaada.
 
Back
Top Bottom