Chuo kinapaswa kutoa taarifa kupitia loan ofisa wake, mkopo hubadilika. Ukikwepa hapo, wanaweza kukunasa kwenye matokeo wanapokagua walio disco n.k. Baadhi ya vyuo registration namba zinaindicate chuo na course mfano wanaosoma uhasibu TIA namba zao ni kama DSM/TIA/BAC/12/008 hii inaonesha hadi mwaka wa masomo. Wale wa evening ni kama Dsm/tia/bac-ev/12/0024. Kwa hiyo kwa anayesoma jioni hapati mkopo. Namba zinakuwepo hadi NACTE. Ukihamia course ya BBA ambayo ni non priority namba inakuwa Dsm/tia/bplm/12/003