Mimi nashauri wahusika wote walio pewa maelekezo ya kufuta hizo tozo halafu wakakaidi kuzifuta watumbuliwe wewe utakiukaje maelekezo ya Boss wako?Wazir alisema mnufaika alipe pesa aliyokopeshwa tu bila kuwemo value retention fee pamoja na penalty
Vp utupe mrejesho watu wa bod wameshughulikia jambo lako?