Mimi nashauri wahusika wote walio pewa maelekezo ya kufuta hizo tozo halafu wakakaidi kuzifuta watumbuliwe wewe utakiukaje maelekezo ya Boss wako?Wazir alisema mnufaika alipe pesa aliyokopeshwa tu bila kuwemo value retention fee pamoja na penalty
Wameniongezea deni, sina hamu nao kabisa.
Zaidi ya laki 6
Salary slip zimetoka vip umepelekewa deniMwezi huu wa saba ndio wanalipeleka sasa hapo ndio utajua kuwa wanaweza au hawawezi
Zimetoka lini?Salary slip zimetoka vip umepelekewa deni
Hawajapeleka deni jipya bado limebaki la kwenye slipSalary slip zimetoka vip umepelekewa deni
So umeelewa nnacho sisitiza! Msijipe presha na mastatent soma kilicho kwenye salary slipHawajapeleka deni jipya bado limebaki la kwenye slip
PamojaSo umeelewa nnacho sisitiza! Msijipe presha na mastatent soma kilicho kwenye salary slip