mkisyeli
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 260
- 76
Wadau mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza pale IFM mwaka jana niliomba mkopo ila wale majamaa wa bodi walinipiga chini sasa nimeomba tena ila kila nikiingiza zile code nilizotumiwa kutoka kwa M pessa system inanijibu et INVALID TRANSACTION I'd dah any one anayejua juu ya hili pls msaada kwenye tuta wadau...