HESLB INVALID TRANSACTION I'd

HESLB INVALID TRANSACTION I'd

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
260
Reaction score
76
Wadau mimi ni mwanafunzi mwaka wa kwanza pale IFM mwaka jana niliomba mkopo ila wale majamaa wa bodi walinipiga chini sasa nimeomba tena ila kila nikiingiza zile code nilizotumiwa kutoka kwa M pessa system inanijibu et INVALID TRANSACTION I'd dah any one anayejua juu ya hili pls msaada kwenye tuta wadau...
 
Nikipiga simu haipokelewi mkuu@MWANYONGA
 
nadhan mtandao wao unasumbua hata mimi nimejaribu mara kibao inaniambia DATA BASE ERROR na makorokoro mengine kibao!
 
nadhan mtandao wao unasumbua hata mimi nimejaribu mara kibao inaniambia DATA BASE ERROR na makorokoro mengine kibao!

Ni kweli kaka hata mm baaada ya transaction I'd kukubali ikawa inasema data base erro ila sasa imekubali na nimeshamaliza kujaza bado kutuma tu
 
Back
Top Bottom