HESLB itaanza kutoa hela baada ya sikukuu ya EID EL FITR

NAOMBA MNISAIDIE HIVI NI NGAZI GANI YA ELIMU UNARUHUSIWAKUITWA MSOMI?
Mm naona kwa shahada ya kwanza ni kujikweza.

Mkuu msomi ni mtu anayeweza kusoma, kuandika na kuhesabu bila kusahau kuwa na uwezo wa kutambua na kudai haki binafsi na ya jamii.
 

Wanafunzi wakamsaliti Mboya, ona yaliyotukuta. Kweli nimeamini mtu husifiwa mabaya yakiwakuta wahanga. Hakumuweka hata kiongozi mmoja aliyecontest nae. Boya kweli Nickson
 
NAOMBA MNISAIDIE HIVI NI NGAZI GANI YA ELIMU UNARUHUSIWAKUITWA MSOMI?
Mm naona kwa shahada ya kwanza ni kujikweza.


Mi nakupinga kaka...
In a more logical mode msomi ni mtu mwenye uwezo wa kuandika na kusoma...
Then the fact is the extent of usomi wako, hata darasa la 7 anaweza kujiita msomi...
Your concert is that msomi ni mtu mwenye ameforego beyond digrii ya kwanza... Big No.
Vyeti makaratasi mkuu.
 
pls jaman naomben msaada wenu nimeomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2014\2015 sasa tatizo linakuja liki log in ili nizione taarifa zangu kuna sehemu imeandikwa application status niki click pale inaniletea taarifa kuwa application is incomplete you should fill other forms.mi sielewi form gan tena wakati kujaza nimejaza na kuzituma tayari mwenye uelewa pls msaada wenu
 
Nenda bod mkuu utapata jibu lenye uhakika. Zikifika Hizo habari ni majanga nenda mapema
 
Ndugu wana jf wanafunzi wa vyuo mbalimbali hususani vyuo vifuatavyo; udsm mlimani (chuo cha taifa), muce , duce na udom pesa zao zitaanza kulipwa baada ya sikukuu ya EID EL FITR. Ni ukweli isiopingika kuwa wanafunzi wameanza

Hapo umeharibu hata maudhui ya uzi wako...
 

Hapa kunauwezekano hukujaza self informations kwenye CAS kama marital & health status, email, mobile #, gender etc, angalia hapo mkuu. Pia unaweza kuwasiliana nao kwa njia ya simu(i speak out of experience hapa)
 
Hapa kunauwezekano hukujaza self informations kwenye CAS kama marital & health status, email, mobile #, gender etc, angalia hapo mkuu. Pia unaweza kuwasiliana nao kwa njia ya simu(i speak out of experience hapa)

hiyo CAS imeingiaje tena hapo mkuu?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…