Heslb iwe somo

Heslb iwe somo

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
kwa watu waliokosa mkopo baadhi wanafikiri labda wana mkosi au Mngu hawapendi ila ukweli ni huu UKIHITAJI MAFANIKIO NA UKAFANYA JUHUDI UNAFANIKIWA ILA KATIKA KUFANIKIWA UNAWEZA UKACHELEWA NI KWA SABABU TU KUNA VIRUS AMBAVYO NAVYO VINAHITAJI UWEPO WAKO ILI VIISHI ILA SIO MAPENZI YA MNGU na hivyo virus ambavyo vinamiliki %kubwa ya misingi ya maisha yako ndivyo vinavyokutafuna ila NEEMA ya MNGU iko pale pale UTAFANIKIWA na hii hali imekuwa kilio cha waliokosa huo mkopo na watu wengine wachache wenye huruma kumbe ilitakiwa uwe umepata o laa! kuungana kutafuta haki kwa mwenzako inawezekana ni kaka yako,dada,binamu na hata rafiki wapi furaha kama ndugu au rafiki yako anashindwa kwenda chuo wewe unafurahia kisa umefanikiwa nafikiri hakuna furaha kwa hapo maana hata aliyepata hayuko salama mwakani napo kunawezatokea mizengwe ili kuwa salama ni lazima uweke njia salama kwa sasa na VILE VILE WAZAZI,HAKI ZA BINADAMU NA HATA VYAMA VYA SIASA LEO HII UNALIA KIVYAKO KESHO oooh! nitaleta maisha bora kwa hili sio sawa
 
Back
Top Bottom