ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!