HESLB Kuachia majina waliopata mkopo Ijumaa tarehe13.

Status
Not open for further replies.

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
6,280
Reaction score
5,979
Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!
 
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!
 
Waharakishe bhana,kwanza wameshakula zile 30K zetu almost 2.9 bil kwa wote walioapply nakat serikali tayari iliwapa almost 98 bil.wiziii tu,muda wote wanaandaa transactions za kutuibia
 
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!

Heslb wameshaandaa orodha isiyo na mapungufu .
Walishachambua majina.
Karne hii n ya dijitali.
Tcu wskipeleka majina bodi, wanafanya matching tu against orodha.
Intelijensia sio polisi tu.
 
heslb wanatarajia. Ceteris peribus!
 
hii thread haina ukweli ndani yake., coz tcu deadline kwa ajili ya wanaobadilisha chuo na course ni sept 16..! Je vp hio tar 13 yako unaona inaleta mantiki.? hebu rudi kwenye intelegensia yako wakakudanganye tena..! Over
 
Last edited by a moderator:
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!

Kabla ya tarehe 11 na sio trh 11.
Ni kuwasilisha flash au cd tu mambo yanajipa.
Tayari bodi imeshachakatua(process) majina .
 
hii thread haina ukweli ndani yake., coz tcu deadline kwa ajili ya wanaobadilisha chuo na course ni sept 16..! Je vp hio tar 13 yako unaona inaleta mantiki.? hebu rudi kwenye intelegensia yako wakakudanganye tena..! Over

haiwazuii bodi kuachia majina. Ndio maana huwa kuna batch zaidi ya kumi.
hao wenye matatizo watasubiri batch zitakazofuata.
Kuna tatizo! Hakuna tatizo.
 
Last edited by a moderator:
haiwazuii bodi kuachia majina. Ndio maana huwa kuna batch zaidi ya kumi.
hao wenye matatizo watasubiri batch zitakazofuata.
Kuna tatizo! Hakuna tatizo.

teh teh teh! kuna tatizo kwani!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom