Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!
intellegensia kwani nawe unachombo cha ukachero? Majina yapelekwe trh 11 halafu 13 helsb wawe wamemaliza loan allocatn? Usiwawazishe madogo,ijumaa si mbali watakugeukia tu!
heslb wanatarajia. Ceteris peribus!
heslb wanatarajia. Ceteris peribus!
hii thread haina ukweli ndani yake., coz tcu deadline kwa ajili ya wanaobadilisha chuo na course ni sept 16..! Je vp hio tar 13 yako unaona inaleta mantiki.? hebu rudi kwenye intelegensia yako wakakudanganye tena..! Over
haiwazuii bodi kuachia majina. Ndio maana huwa kuna batch zaidi ya kumi.
hao wenye matatizo watasubiri batch zitakazofuata.
Kuna tatizo! Hakuna tatizo.