hii thread haina ukweli ndani yake., coz tcu deadline kwa ajili ya wanaobadilisha chuo na course ni sept 16..! Je vp hio tar 13 yako unaona inaleta mantiki.? hebu rudi kwenye intelegensia yako wakakudanganye tena..! Over
ishu ni kujipa moyo tu, napendaga sana kujipa moyo! raha sana no stress!
hapo c kujipa moyo bali ni kuuzika moyoo
yan mi naona hii mikopo n ka sandakalawe... Kuna mwanangu yuko UD Bcom halambi hata sent tano na alikuwa na matokeo mazuri tu! Anayejua vigezo wanavyotumia anieleze maana nina presha balaa..
vigezo ni priority and non priority
so non priority no mkopo?
so non priority no mkopo?
acha mambo we bwana mdogo. we kwa mawazo yako unafikiria 7500 kkwa siku ni hela nyingi? acha kauli za kimasikini wewe. bodi wakisoma ujumbe wako hakika watasema vijana hata kwa hiki kidogo tulichowapa kinawatosha tena wanaweza wakaipunguza tena. eti hela nyingi. ebooSource: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!
Wamekuwa wagumu kukuelewa.... hata kama taarifa si sahihi wanapaswa kukuelewa!!!haiwazuii bodi kuachia majina. Ndio maana huwa kuna batch zaidi ya kumi.
hao wenye matatizo watasubiri batch zitakazofuata.
Kuna tatizo! Hakuna tatizo.