HESLB Kuachia majina waliopata mkopo Ijumaa tarehe13.

HESLB Kuachia majina waliopata mkopo Ijumaa tarehe13.

Status
Not open for further replies.
hii thread haina ukweli ndani yake., coz tcu deadline kwa ajili ya wanaobadilisha chuo na course ni sept 16..! Je vp hio tar 13 yako unaona inaleta mantiki.? hebu rudi kwenye intelegensia yako wakakudanganye tena..! Over

ishu ni kujipa moyo tu, napendaga sana kujipa moyo! raha sana no stress!
 
Last edited by a moderator:
Hizo batch za heslb mbona zinanitia presha!! Ina maana zinapishana muda gani?
 
yan mi naona hii mikopo n ka sandakalawe... Kuna mwanangu yuko UD Bcom halambi hata sent tano na alikuwa na matokeo mazuri tu! Anayejua vigezo wanavyotumia anieleze maana nina presha balaa..
 
yan mi naona hii mikopo n ka sandakalawe... Kuna mwanangu yuko UD Bcom halambi hata sent tano na alikuwa na matokeo mazuri tu! Anayejua vigezo wanavyotumia anieleze maana nina presha balaa..

vigezo ni priority and non priority
 
itumike subira iliyotumika kusubiri matokeo ya form six,selection za tcu na nacte na sasa tuvumilie bodi nao wafanye yao naamini haya ni mapito,tutaenda vyuoni,tutafanya mitihani napo itabidi tuwe na subira ya matokeo pia,tutamaliza vyuo na wengine tutaomba kazi lakini napo subira itahitajika kusubiri majibu yake so mbeleni tuna vitu kibaoooooo so yatupaswa kua na mioyo ya subira.
 
so non priority no mkopo?

Kama wamesema mwaka wa kwanza 35 elfu watapata mkopo inamaanisha most of us tutapata mkopo regardless priority or non priority....tutatofautiana asilimia tu lakini karibia wote tutapata....mtazamo tu
 
Source: Intelijensia.
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14.
Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha majina ya wadahiliwa kwa heslb.
Majina hayo yatawasilishwa mapema wiki hii kabla ya tarehe 11.
Watarajiwa vuteni subira mambo mazuri yanakuja.
Angalizo: Vijana hamjawahi(wengi wenu) kumiliki kiasi kikubwa cha fedha kwa mara moja, tafadhali msipate ukichaa wa hela.
Nawatakia masomo mema!
acha mambo we bwana mdogo. we kwa mawazo yako unafikiria 7500 kkwa siku ni hela nyingi? acha kauli za kimasikini wewe. bodi wakisoma ujumbe wako hakika watasema vijana hata kwa hiki kidogo tulichowapa kinawatosha tena wanaweza wakaipunguza tena. eti hela nyingi. eboo
 
bodi kwa hiyo tar uliyo2pa mbona umewah xna ? labda ungesema tar 20 mwez huu na c tar 11, ila subira ya vuta kher.
 
acha mbwembwe kaka coz kuna wa2 wameomba kuhama chuo na koz xo unadhan wakipeleka hyo tar 11 itakuaje?mi nahis had deadline ifke tar
16
 
haiwazuii bodi kuachia majina. Ndio maana huwa kuna batch zaidi ya kumi.
hao wenye matatizo watasubiri batch zitakazofuata.
Kuna tatizo! Hakuna tatizo.
Wamekuwa wagumu kukuelewa.... hata kama taarifa si sahihi wanapaswa kukuelewa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom