Taarifa imetoka sasa kuwa kesho ndipo uzinduzi rasmi wa muongozo wa uombaji wa huo Mkopo kizinduliwa rasmi makao makuu. Jambo hilo liliibuliwa mwaka huu kama pendekezo moja katika mkuta wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Hassan Suluhu na viongozi wa wanafunzi vyuoni na kuahidi kufanya kazi.
Kilio cha muda mrefu kinaenda kutatuliwa sasa maana watu wa diploma waliona kama serikali imewatenga ,je yapi yatajiri ? tutaona kesho panapo maajiwa.
Samia anawekeza kwa vijana hataki masihara kawaongezea ada ,boom kapandisha mpaka elfu 10 per day (inatarajiwa kuanza vyuo vikifunguliwa mwaka huu) pamoja na ile Samia Scholarships kwa vipanga na leo kaja na hii mpya.