HESLB Kutoka Jikoni kabisa

vp kuhusu waliopata selection second round majina yalfika heslb kwel?yacjeyakawa majanga!!
 
may be!!! but what i know mpaka j5 this week ndo ntapata habari yangu rasmi
Re: HESLB Kutoka Jikoni kabisa
 

Source of information please!
 
ahahaaa haya

 
Mimi nakupongeza kwa kuwareply wote waliokukashfu!!! Static mkaka no fear!!!
 
spleen kumbe unaishi milembe,,dah nilikua sijui
 
hizi taarifa ni za kweli kwani ata mie nimezipata kwa bro yupo anafanya kaz bodi ya mkopo wakuu!
 
hizi taarifa ni za kweli kwani ata mie nimezipata kwa bro yupo anafanya kaz bodi ya mkopo wakuu!

kumbe bro wk yupo heslb mwambie akuangalizie jina lk,uc2subir cc,wengine ha2julikan hapa nchin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…