HESLB Kutoka Jikoni kabisa

HESLB Kutoka Jikoni kabisa

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema mzigo tayari umeshapakuliwa(watu wa IT ndio wanaufeed na kuutengenezea program),kwa haraka haraka mchanganuo wa loan hupo hivi.1.Md,vet,civil=wamekula mia.2.maticha a.k.a Education=wamekula>70 .3.waliogonga private mwanzo mwisho then non-science non-priority=bajeti imebana,wapo kama 3500 .4.wengine wamekosa but sina statistically reason kamili,Lastly wengi wamepata kutokana na mpunga wenyewe kuwa mwingi this year,by next week wazembe flani wa NACTE na TCU wakileta nakala flani bodi wanaweza fanya yao coz kila kitu kipo fixed,confirmation tu ndo inasubiliwa.......kila la kheri wahusika
 
kila mtu ana ndoto na ana haki ya kuisimulia, wengine ni wasikilizaji tu.
 
Huna lolote ila unahitaji mimba na hapa jf hupati mtu.
subiri wafanye hiyo confirmation ndio utajua mimba au?.....otherwise uwe priority mwaka huu mumeomba wengi sana
 
Naona vijana wa zile kozi zetu wamechanganyikiwa kabisa
 
Back
Top Bottom