HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

Tayari mfano huo hapo chini wa aliepata mkopo

login and refresh page

Screenshot (106).png
 
Cjaelewa kabisa afya karibia ote tumepata boom tu au ndo mwaka huu hatuendi kusoma tunaenda kula tu??
Almost ni zero au unakuta 350k out of several millions [emoji3061][emoji3061]
 
Akuna Cha MD, course ya afya wala mwalimu wote wamekula zero
Inaonekana sio kipaumbele Chao kwa mwaka huu,Mana graduates wengi wa ualimu na Hizo fani za afya wapo mtaani hawana ajira na wanadaiwa fedha nyingi sana
 
Inaonekana sio kipaumbele Chao kwa mwaka huu,Mana graduates wengi wa ualimu na Hizo fani za afya wapo mtaani hawana ajira na wanadaiwa fedha nyingi sana
Kama sio kipaumbele Chao, kipaumbele Chao ni kipi maan hakuna course iliyopewa mkopo
 
Back
Top Bottom