CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kwa mwenye kuelewa, nimeona HESLB wametoa nafasi ya kufanya appeal. from my reading it seems waliopata privilege ya ku-appeal ni wale ambao hawaridhiki na kiasi walichopata. IS THIS TRUE? Je wale ambao hawakupata kabisa waharuhusiwi ku-appeal? tafadhali!