Mimi ningeliona jina tu! Hata wangesema 2050 ningekuwa mvumilivu kibaya pesa zangu wamekula hata kunitambua hawataki! Sijui wanasubiri awamu nyingine ndo wanipe. Hivi kuna haja gani ya kuappeal kama anayeappeal majibu ni baada ya miezi sita hadi saba