HESLB Loan Appel Results Vipi???

HESLB Loan Appel Results Vipi???

FUJISTU

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
261
Reaction score
93
wamekuwa kimya sana kuzitoa....hata tulipowafuata bodi walisema tusubiri watapublish, ndo wamekula buku tano zetu au vipi? wananipa Moto :frusty:
 
Kuna dogo hajapewa, yuko kwenye transfer list. Washenzi kweli hawa, technology haijawasaidia
 
Hawa jamaa hawana uchungu kabisa, ilipaswa wapewe time limit kufanya kazi zao! Pesa aliyopaswa kupewa mwanachuo Sept anapewa April. So sad
 
Mimi ningeliona jina tu! Hata wangesema 2050 ningekuwa mvumilivu kibaya pesa zangu wamekula hata kunitambua hawataki! Sijui wanasubiri awamu nyingine ndo wanipe. Hivi kuna haja gani ya kuappeal kama anayeappeal majibu ni baada ya miezi sita hadi saba
 
msabaha, pole sana! Technology haijawasaidia kabisa
 
Last edited by a moderator:
ila kweli inasikitisha maana mwanzo wamekula 30000...wakaona haitoshi saa hizi wamekula 5000 halafu majina hawatoi,hivi kanini lakini HESLB?badilikeni
 
Back
Top Bottom