kwa mtazamo wangu,bodi wanabeba lawama ktk nyanja hizi:kushindwa kugawa mkopo kulingana na hali halisi za kiuchumi za waombaji(kufel ktk hili kunapelekea sisi makayumba kukosa mkopo ilhali usawa maskan unakaba,kwa kifup bodi wanafanyaga kamchezo ka sandakalawe!).Pili,ni khs priorities ya kozi,bodi wamekua wakirushiana mpira na tcu juu ya course prioritie toka mwaka jana.Kwanini bodi wasingekanusha officially kwamba course priorities sio guantee ya m2 kupata mkopo ili waombaji wasiwe na ma2maini HEWA ya uhakika wa mkopo?!(ktk hili bodi hawana cha kujitetea kwa wamelidanganya taifa waziwazi,wanapaswa kuwajibika.Mwisho kabisa lawama lazma zielekezwe Serikalini moja kwa1,hapa lazma 2kiri kuwa bodi ni wagawaji2(allocators) wa kile wapokeacho serikalini!km wamepewa kidogo hawawez kutoa kingi kwa wahitaji&vice versa is true!.Vlevle serikal huenda haifatilii ipasavo matumizi ya hzo fedha hvyo kutoa mwanya kwa wa2mishi wa bodi kuzifuja.Serikal imetenga takrban milio 300 na kdgo,pesa hii inahusisha operational costs za bodi km taasisi ambazo ha2jaambiwa ni % ngap ya bajeti nzma!,huenda(tetesi) gharama za uendeshaji wa ofisi interms of mishahara,posho na per dm ni kubwa sana hvyo kubakiwa na kiasi kdg kwa ajili ya mikopo ye2.Wito wangu kwa serikali ni kuongeza kwa kuangalia idadi halisi ya wahitaji pa1 na kuzimonitor hzo pesa zfkapo bodi. Nawasilisha.