Yasoda Rajab
Member
- Jul 17, 2013
- 24
- 5
Vigogo wali...!!!!
HESLB mpaka lini?
Thread nyingine za kitoto tu.
😡
ndio post yako ya kwanza kabisa...watoto wa fb wameamia humu kuchafua tuHESLB mpaka lini?
HESLB mpaka lini?
Jamani baadhi ya vyuo wameshafungua na vingine vinaendelea kufunguliwa wanafunzi wengi wanashindwa kuenda chuoni kufanya registration kwasabu wanahofu kukosa mkopo ambao utawawezesha kuendelea na elimu ya juu sasa sijajua sababu ya kuchelewa hivyo japo kuna vigogo wali post kwamba kabla ya tarehe 20 mwez huu watakuwa wameachia mzigo.
HESLB mpaka lini?