heslb mbona kimyaaaa...!

heslb mbona kimyaaaa...!

Yasoda Rajab

Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
24
Reaction score
5
Jamani baadhi ya vyuo wameshafungua na vingine vinaendelea kufunguliwa wanafunzi wengi wanashindwa kuenda chuoni kufanya registration kwasabu wanahofu kukosa mkopo ambao utawawezesha kuendelea na elimu ya juu sasa sijajua sababu ya kuchelewa hivyo japo kuna vigogo wali post kwamba kabla ya tarehe 20 mwez huu watakuwa wameachia mzigo.
 
pole sana kwa kusubiri helbs ni kisho jumamosi ni uhakika usihofu bwana mdogo........
 
Thread nyingine za kitoto tu.
😡

sio makosa yake.
.
user-online.png
DAUDI PETER

Today 14:43
#1
Junior Member Array

Join Date : 29th August 2013
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Jamani baadhi ya vyuo wameshafungua na vingine vinaendelea kufunguliwa wanafunzi wengi wanashindwa kuenda chuoni kufanya registration kwasabu wanahofu kukosa mkopo ambao utawawezesha kuendelea na elimu ya juu sasa sijajua sababu ya kuchelewa hivyo japo kuna vigogo wali post kwamba kabla ya tarehe 20 mwez huu watakuwa wameachia mzigo.

kuwa na subira kijana wangu,next week ki2 kitakuwa hewan tu.
 
Jamani hivi lini bodi ya mkipo itatoa jina maana baadhi ya vyuo vinakalibia kufungulia
sasa itakuaje
 
Back
Top Bottom