HESLB mnataka tufe kwa pressure?

Ni bora uwe unakwenda ofisini kwao kuwaona ili kupata statement zaidi.anyway kama sijakosea niliona tazara pale ndo walipo kwa Sasa sijui ndo wamehamia pale...
 
Madeni yao ni utopolo
Na usumbufu huo wa kitopolo umesababishwa na Ndugai.
Mungu kwakweli atusaidie juu ya Ndugai
 
Ni bora uwe unakwenda ofisini kwao kuwaona ili kupata statement zaidi.anyway kama sijakosea niliona tazara pale ndo walipo kwa Sasa sijui ndo wamehamia pale...
Ukifika pale wanafanya kazi ya kushindana kuja na magari.
Kuna vitoto pale ni jeuri utafikiria hizo hela nizababa zao. PS wa mkurugenzi msaidizi majamaa kasumbufu sijui wamemuokota wapi yule maana ..... na Dada wa mapokezi hawana maana. Nimajipu na yameiva
 
Mkopo huo ni pasua kichwa ndiomaana wao watoto wao wanawasomesha kwa cash hawatakagi longolongo maana wanajua huu ni mtego wamewawekea wanyonge kama wanyonge . Mitano tena kwao
 
Kenge wasio na mikia hawa! Hata mimi naisubiria tu hiyo barua yao kwa hamu. Deni lao liliisha miaka mitano iliyopita, lakini najua watakua wamenibambika tu deni hewa kwa hiyo sheria yao ya kipuuzi ya mwaka 2016!

Nimezihifadhi salary slip zangu mahali pema peponi, nikisubiria tu walianzishe! Halafu tuone mwisho wake utakuwaje.
 
Mkopo huo ni pasua kichwa ndiomaana wao watoto wao wanawasomesha kwa cash hawatakagi longolongo maana wanajua huu ni mtego wamewawekea wanyonge kama wanyonge . Mitano tena kwao
Wacha tu niendelee kuichukia ccm na viongozi wake! Hawa mchwa ndiyo chanzo cha maumivu yote haya kwa Watanzania wa kipato cha chini. Ukiyakuta yalivyo futuka matumbo, utadhani yana mimba ya mwaka mmoja!
 
Kulialia haitokusaidia, deni ni lazima lilipwe.
 
Huyu aliye ondoka juzi Kati ameharibu Sana, Mana alikuwa hatoi ajira,
 
Ni bora uwe unakwenda ofisini kwao kuwaona ili kupata statement zaidi.anyway kama sijakosea niliona tazara pale ndo walipo kwa Sasa sijui ndo wamehamia pale...
Ukifika pale unajibiwa mavi,mtu kaegemea kwenye kiti kama yupo chumbani kwake,hela imeenda na unajibiwa upupu.
Wahitaji maskini na yatima wananyimwa na wanaoingia vyuoni wanaendesha mashangingi wamekopeshwa. Hao hawaajiriwi wengi wanajiajiri. Wakiona makusanyo ni kidogo wanaanza kupagawa wanapandisha asilimia.
Anayewadhulumu na kuwanyanyasa yatima,maskini na wanyonge huyo atapambana na nguvu ya Mungu. Tena akizidi ubishi Mungu anamtuliza kwa kuchukuatu Oxygen yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…