HESLB mnataka tufe kwa pressure?

HESLB mnataka tufe kwa pressure?

Poleni sana nyie wanyonge lipeni hela ya uzalendo alisikika mjinga mmoja akiwa na suti mjengoni.
 
Hapa watajidai yaliyopita yamepita sirudii matapishi Ila deep inside their four chambers heart hawawezi kumnyima mtu aliyewagharamia for Three/four consecutive solid years kuanzia ada, mavazi chakula hadi pedi.
Damn marriage, ndoa zina changamoto sana. Nitaleta hapa true story
Wewe mbona unaongelea kila nafsi as if unanijua?

Ni lazima nitembee nae huyo ex

Wewe kama yamekukuta ni wewe na ufalaa wako umesikia?
 
Hukumaliza deni wewe, fuatilia statement utapata picha
 
Hili deni ni tatizo sijui Mama Samia anakujua hili au kaamua kuvunga tuu?!!!!

Najuta kusomeshwa na KODI ZA WANANCHI.
 
Kuna rafiki yangu alimaliza chuo mwaka 2015 akaa mtaani mpaka mwaka 2021 mwezi wa Kwanza ndipo alipata kazi ...baada ya miezi mitatu HESLB Wakaanza kumkata ...ikabidi atengeneze salary slip akakuta Deni lake ni 14,700,000
 
Huyu mbona kakuta ndogo.Mimi nimemaliza chuo 2014 mwaka 2015 nikaajiriwa,2016 wakaanza kunikata Deni lao ambalo nilikuta milion 13 na ushee
 
Kuna rafiki yangu alimaliza chuo mwaka 2015 akaa mtaani mpaka mwaka 2021 mwezi wa Kwanza ndipo alipata kazi ...baada ya miezi mitatu HESLB Wakaanza kumkata ...ikabidi atengeneze salary slip akakuta Deni lake ni 14,700,000
Hilo mbona la kawaida sana. Wengine hatujakaa hata mwaka mmoja kitaa ila tulijikuta Mil.12 kutoka Mil.10 zilizokuwa zimeandikwa kwenye invoice wakati wa kumaliza.
 
Back
Top Bottom