HESLB mnataka tufe kwa pressure?

Serikali inabidi iangalie upya utaratibu wa kulipa Deni la HESLB kwani linawaumiza watumishi asilimia ni kubwa Sana toka 7% mpka 15% ni kubwa na ukiangalia viwango vya Mishahara na riba ambazo watu wanawekewa na HESLB.ni kubwa Sana.
 
Hilo mbona la kawaida sana. Wengine hatujakaa hata mwaka mmoja kitaa ila tulijikuta Mil.12 kutoka Mil.10 zilizokuwa zimeandikwa kwenye invoice wakati wa kumaliza.
Duuuh asee hii ni balaa[emoji848][emoji848]
 
Bodi yenyewe ni Chaka la unyonyaji tu...
 
Bodi yenyewe ni Chaka la unyonyaji tu...
Wakiongozwa na hako katoto Jacobo nadhani nikatoto au kajukuu ka mkurugenzi maana kanajiamini sana hata kakiongea upuuzi.
HESLB imekua kama kampuni ya wahindi wanatenda watakavyo. HESLB ni Utopolo mtupu
 
Nimewapenda sanaaaa hawa CWT
 
Kwa maana hiyo 6% ambayo ndio retention fee, imefutwa rasimi kuanzia leo baada ya hotuba ya Mhe. Rais? Na itafanyika recalculation upya ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…