HESLB, mnatufanyia nini hivi?

HESLB, mnatufanyia nini hivi?

wejja

Senior Member
Joined
Nov 1, 2011
Posts
126
Reaction score
16
Tangu jana nililipia fee kwa ajili ya kuomba mkopo heslb. M-pesa walinipa transaction ID lakini nimejaribu kuomba mkopo mpaka nachoka. Wananipa msg hii " M-PESA Transaction ID does not Exist
We are sorry that the Transaction ID you provided does not exist in our system. Kindly make a payment though M-PESA and try again
If you have already made a payment through M-PESA but for some reason the associated Transaction ID has not been forwarded to HESLB, Kindly wait for an hour or two then try again

If you have already made several attempts after hours of waiting and trying, kindly contact HESLB Help Desk thought above numbers for assistance"

Je hili tarizo lipo kwangu tu au ni kwa wote (wale wa diploma maalum ya ualimu ya UDOM)?
Msaada juu ya hili tafadhali
 
Huwa inakuaga hivyo hata mm kipind naaply mwaka huu mwanz waliniandikia hvyo ila chamsing unatakiw utege mda ambao watu hawaapply kama usik wa manane au alfajr hv
 
Si wamekuambia ikigoma uwahi liane nao?,na number zako ziko pale?,au mie pekeyengu sikuelewi huyu?
 
Si wamekuambia ikigoma uwahi liane nao?,na number zako ziko pale?,au mie pekeyengu sikuelewi huyu?

Hawapokei, inaita mara moja halafu inakatwa.
So far i managed to complete the registration after a long serious waiting!
 
Jamani naombeni mnieleweshe Ina maana maombi ya mkopo yanafanyika mara mbili au kuna utaratibu gani?
 
I got the same problem man i hv tried several times bt ending up invalid transaction id!kwan jina lako lipo kwenye list ya chuo udom?coz most of people tuliiomba kwa njia ya CAS names are not yet forwaded to udom!
 
Jaribu kusubiri na usikate tamaa. Mimi nimefanikiwa na kesho naituma
 
bora hata ww wamekutumia hizo code mm hata hawajanitumia chochote hadi nkapiga voda wakanuambia nijaribu kuwa siliana na bodi .....au kwa sababu deadline tyriiiiii coz wengne hatuwezi kusoma bila loan hiyo elfu sabini tuu ilikuwa mshikemshike.gud nite palzzz
 
Kwani wakati unalipia M-pesa hukuletewa message ya uthibitisho? Maana hiyo msg ndiyo yenye transaction ID
 
mkuu embu tuliza mukali hiy ishu imafanyik kwa masaa so mpesa mpka connection iende heslb its take sometym so watu huwa wanashauriwa km umenunua leo nivizuri kesho ndouanze usajili.so isikuumize kichwa.tomorrow anza usajir
 
By the way hizo form unatakiwa ujaze umetulua.usiwe naparaputa itakula kwako.kesho weka bando lako ingia ila weza kutofautisha kati ya zero numbr(0) na o herufi.ukuchanganya itakulakwako
 
si usibir tuu kwanza kwan ni lazma hiyo trasn Id iwafkie heslb ndo uweze kuitumia so subir subir
 
Back
Top Bottom