Heslb na boom

Heslb na boom

Gray Ze Don

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
36
Reaction score
3
eti jaman nisaidieni.bodi ikikupa 0% je bumu la meal allowance unapata?au zte unakosa?
 
Nini maana ya sufuri asilimia? Jiongezee kama msomii hata mwanafunzi wa chekechea anajua

Wakati mwingine ni akili kukaa kimya kwa yale usiyoyajua. anayepata mkopo 100% au 50% au 0% wote wanapata meal allowance kiwango sawa cha tshs 7500 kwaa siku. tofauti ya hizo asilimia huwa ni kwenye tuition fee na field tu. ikiwa utawekewa mkopo negative hiyo humaanisha ndio huwezi kupata hata hiyo ya chakula.
 
field wote sawa
 
daa!me pia nilikuwa na shauku ya kujua,..shukuran zangu za dhati kwa wote mliochangia mawazo chany kwenye mjadala huu kuhusu boom!!!
 
Asante kwa msaada wenu mliozingatia hoja na kutoa ufafanuzi, kwani huo ufafanuzi umetunufaisha wengi.

Samahani kwa wale mliojifanya mnajua sana, kwani nikiwaita wa.j..inga mtakasirika, lakini sina neno mbadala zaidi ya hilo. Samahani tena.
 
Nini maana ya sufuri asilimia? Jiongezee kama msomii hata mwanafunzi wa chekechea anajua
Kama hujui haya mambo unaacha wanaoyajua wayaseme, inawezekana wewe ni kijana wa Primary halafu unajifanya mbelembele kujibu maswali wanayopaswa kujibu wanaoelewa... Bora kukaa kimya tusijue urefu wa akili yako!!
KWA TAARIFA YAKO, UKIONA TU JINA LAKO BILA KUJALI % ULIZOPATA..... MEALS, ACCOMODATION UNAVYO!!! WASIOPTA VITU HIVI NI WALE AMBAO MAJINA YAO HATA KUONEKANA HAYAKUPATA NAFASI KWENYE LIST <<DISQUALIFIED>>!!!
 
Nimekuelewa mkuu zaidi ya sana, mungu akubariki.
 
Itakuwa ya serikali ya mugabe

Kama hutaki sikulazimishi.....imeandikwa pale miezi 6 milioni moja na laki nane jumlisha laki mbili ya photocopy inakuwa milioni 2 taslimu......TEKU wanalijua hilo
 
mtani limepanda kweli..! Me nilikuwa nasikia tetesi tuuu
 
Back
Top Bottom