Heslb na jkt

Heslb na jkt

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
Wadau,,!
Naomba kuuliza,,hivi kwa sasa kupata mkopo wa heslb kwa form six leaver,,kwenda jkt ni kigezo,? Au havihusiani?
 
mwaka jana watu walipata wakati walikacha kwenda jkt, ila kwa mwaka huu sijui
 
Jkt wanachagua special schools ambazo wana uhakika students from those schools watafaulu.
Mfano ni st.Merigoreth,Kifungilo,Mzumbe,ilboru,kibaha,msalato etc...shule ya kata hamna JKT
 
Acha uongo,NGUDU SEC NI SPECIAL?MBONA WAMECHUKULIWA UKITAKA KUPROVE CHEKI HAPO MASWAYETU.BLOGSPOT.COM
 
Jkt wanachagua special schools ambazo wana uhakika students from those schools watafaulu.
Mfano ni st.Merigoreth,Kifungilo,Mzumbe,ilboru,kibaha,msalato etc...shule ya kata hamna JKT

[shule zote zimechaguliwa so hamna cha special wala nn]
 
Wadau,,!
Naomba kuuliza,,hivi kwa sasa kupata mkopo wa heslb kwa form six leaver,,kwenda jkt ni kigezo,? Au havihusiani?

Wale wote wanaoenda JKT ndo wengi wao watakuja kuwa viongozi na wafanyakazi waandamizi katika sekta nyeti hapo baadaye. Kwa ivivu jiandae kuhangaika kimaisha kama utategemea ajira ya serikali.
 
cheki hapo ,www.maswayetu.blogspot.com
 
Back
Top Bottom