Heslb na safari ya mbwa mwitu

Heslb na safari ya mbwa mwitu

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
nianze na mada bodi ya mikopo mda sio mrefu itatoa majina ya wanafunzi walioopata mikopo ili kusomeshwa ktk elimu ya juu yafuatayo ni chaka la mbwa mwitu1.hadi sasa bodi ya mikopo unaweza kusema ni ya kibaguzi kwa vile kuna watu wanapewa na wengine hawapewi lakini ukweli ni huu ni mfumo mzuri umekosa ili kuweza kuboresha na kuongeza wadau kuchangia na kuwapo kwa kipaumbele ktk elimu ya juu hivyo kila mtu aweze kusoma 2.bodi ya mikopo wamekuwa wakitoa bila kuwa na ufuatiliaji wa mda mrefu mfano kama mtu amemaliza miaka 3 nyuma hatakiwi kupewa lakini sio kweli hawa watu wapo wengi tena wanapewa pesa nyingi hivyo kupelekea watu wengine kuhisi labda kuna rushwa au kujuana 3.kitendo cha serikali kunyamazia suala la elimu bila ya kuwepo mfumo maalum ni tatizo kubwa la baadae. serikali inabidi itoe mfumo ulio sawa kila mtu anapata elimu na anapataje(ibara 11(2))?sio kukaa kimia mfano hizi sheria kuwa mtu kapitia diploma au kamaliza kidato cha sita miaka 3 iliyopita hapewi mkopo so anasomaje?mawazo yak
 
Back
Top Bottom