Heslb na tcu kuachia leo ama kesho!!

Heslb na tcu kuachia leo ama kesho!!

Charles Ignatio

Senior Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
133
Reaction score
52
Kwa wale wanosubiri selection za vyuo kutoka Tcu na grade za mkopo kutoka bodi ya mikopo kuachiwa kati ya leo ama kesho
source. wadau wa ndani ya tcu and heslb
 
Baada ya wiki mbili wewe!at hata kuhesabu hujui.wanamaliza kbsa na 2nd applicants
 
two weeks later, acha kuwapandishia form six leavers pressure.
 
Mwaka huu na wasi wasi na asilimia watakazo toa! Maana wanavyosisitiza et "jukumu la kusomesha wanavyuo sio serikal tu". Lets wait....
 
Back
Top Bottom