Jitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.
Point yangu ni kuwa:
1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh....
Wenye akili kubwa tumemuelewa anachoongelea, HESLB imetumika kama reference tuJitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.
Katunzi usiwe takataka. Wahaya ni watu smart! Usiwaaibishe! Tunajenga hoja ya haki, siyo kwa vile waliotangulia wamefanya hivyo!Jitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.
Pingana na ukweli uliopo,uone system inavyo Fanya kazi yake....!teh hatuwezi kupata mawazo mapya bwana kaka kama tutakuwa na utamaduni wa kufikiria kuwa kilichopo ndio ALFA na OMEGA. Dunia isingefika hapa ilipo bwana ndugu.
Umeusema ukweli kabisa,hatujawahi kuwa takataka kwa kupinga yasiyo pingika...!Aliye shika mpini atabaki kuwa mshindi cku zote.sasa uliye shika makali utaiyona shughuri yake....!Katunzi usiwe takataka. Wahaya ni watu smart! Usiwaaibishe! Tunajenga hoja ya haki, siyo kwa vile waliotangulia wamefanya hivyo!
Hizo system zina timing ni balaa...!Hazifanyi makosa.Ukiwa mjanja hats huwezi kuliwa 30 yako.. Kama dirisha linafungwa tarehe 31 August na mda huo matokeo yatakuwa yashatoka wenda siku 5 au zaidi toka yatoke nami ndo natumia siku hzohzo, kikubwa ni kuandaa nyaraka mapema then hyo siku naapload tu.
Usimshauri MTU atumie gharama kuomba mkopo mapema hali ya kuwa matokeo yake hayaamini..
Kweli mkuu shida ni kuandaa Doc mapemaa sanaa...!! Akikisha zina mihuri husika na pia Zimekuwa Verified na Mwanasheria hapo inakuwa rahisi...!! Pia Infomartion zote za wazazi ziwe tayariii ikiwa Picha zao incase wamefariki hati zao za vifo na kingine kama Unaenda Jeshini fanya mapema tu maana ukitegemea ukiruhusiwa ndani ya zile siku 5 uapply chuo na kuomba mkopo yani utafelii tuu lazimaa..Ukiwa mjanja hats huwezi kuliwa 30 yako.. Kama dirisha linafungwa tarehe 31 August na mda huo matokeo yatakuwa yashatoka wenda siku 5 au zaidi toka yatoke nami ndo natumia siku hzohzo, kikubwa ni kuandaa nyaraka mapema then hyo siku naapload tu.
Usimshauri MTU atumie gharama kuomba mkopo mapema hali ya kuwa matokeo yake hayaamini..
Kwa hakimu hakuna shida maana ukienda kule unawaachia hela yao,Kweli mkuu shida ni kuandaa Doc mapemaa sanaa...!! Akikisha zina mihuri husika na pia Zimekuwa Verified na Mwanasheria hapo inakuwa rahisi...!! Pia Infomartion zote za wazazi ziwe tayariii ikiwa Picha zao incase wamefariki hati zao za vifo na kingine kama Unaenda Jeshini fanya mapema tu maana ukitegemea ukiruhusiwa ndani ya zile siku 5 uapply chuo na kuomba mkopo yani utafelii tuu lazimaa..
Kuwa makini pia, usije shangazwa na network hizo siku chache kabla dirisha kufungwa.Kwa hakimu hakuna shida maana ukienda kule unawaachia hela yao,
Ila for now unamake sure cht cha kuzlw kipo verified na RITA, passport zako na mdhamini, na nyaraka zingine kama zinahitajika..
Ukiangaza process haina shida. Hata mda ukiisha utamalizia.Kuwa makini pia, usije shangazwa na network hizo siku chache kabla dirisha kufungwa.
Hata mimi ilinisumbua kipindi kile.Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.
Point yangu ni kuwa:
1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh
2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua utaingia program gani kabla ya kupata matokeo ya mitihani... kuamua kama ni afya, ehandisi etc. Ilibidi wasubiri mitihani itoke.
3..................