Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
habari zenu wanajamvi. Jamani heslb ni tatizo kubwa kwangu. Wameniandikia sifai kupewa mkopo kwa sababu nimemaliza form six zamani 2009. Sasa hiyo fedha ya kujisomesha sina,inamaana habari ya chuo hapo ni basi tena nijaribu vitu vingine! nikiahirisha nikaomba mwakani nazani miaka itazidi kuwa mingi! wadau nifanye nini ili niippate elimu ya chuo kikuu? nimechaguliwa BSME- CoET