Heslb rejected sponsership

Heslb rejected sponsership

Du? Kwan kuna nini? Wengne tko mbali na cafe tujuze jamani.
 
ni wale wanaondelea na wale wanaokaribia kugraduate tu, afu wameandka namba tu hamna majina.
Haiwahusu wanaoanza masomo 2013/2014
 
jaman mi nakaribia kumaliza anaeweza kunisaidia kuniangalizia km niko rejected aniangalizie manake niko mbali na cafe
 
Kila nikifungua tovuti ya bodi ya Mikopo inagoma ikionesha kuna virus, wenzangu ikoje?
 
Back
Top Bottom